Thursday, May 2, 2013

NEWSS: FIFA YAAMURU MCHAKATO WA UCHAGUZI MKUU WA TFF UANZE UPYA

Michael Wambura  
Taarifa  zilizotufikia hivi punde zinasema  kwamba wagombea wawili, Jamal Malinzi na Michael Wambura wamerudishwa kuwania nafasi walizokuwa wakipigania kuzipata katika uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Taarifa kutoka ndani ya TFF zimeeleza, Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limeandika barua ambayo imeshatua Fifa tayari kuwarejesha Malinzi, Wambura na wengine waliokuwa wanagombea. 
Uongozi wa TFF unatarajia kuzungumza nusu saa ijayo kuanzia sasa katika ofisi zake katika eneo la Ilala jijini Dar es Salaam. 
Taarifa kutoka ndani ya TFF zimeeleza, Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limeandika barua ambayo imeshatua TFF tayari kuwarejesha Malinzi, Wambura na wengine waliokuwa wanagombea.

No comments:

Post a Comment