Friday, May 24, 2013

MWANDISHI MAARUFU WA VITABU NCHINI NIGERIA,CHINUA ACHEBE AZIKWA JANA,PICHA ZA MAZISHI YAKE

Jeneza lilibeba mwili wa marehemu Chinua Achebe
Raisi wa Nigeria Goddlucky Jonathan
Mmoja wa waombelezaji ambaye ni muuzaji wa vitabu hapo Nigeria
Raisi wa Nigeria na Raisi wa Ghana wakiwapungia waombolezaji
 Mke wa Marehemu Christie Achebe
RIP Chinua Achebe..nakikumbuka kitabu cha 'Things Fall Apart'
You might also like:

No comments:

Post a Comment