Mwana Wa  Afrika

Sunday, May 26, 2013

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA AU JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA

au4Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika chumba cha mikutano baada ya kuhudhuria kikao cha 29 cha wakuu wa nchi za NEPAD pembeni ya mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika chumba cha mikutano baada ya kuhudhuria kikao cha 29 cha wakuu wa nchi za NEPAD pembeni ya mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia aup1Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika na wageni mashuhuri walioalikwa wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia
IMG_6971Marais wastaafu waliohudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia. Kutoka kushoto ni Dkt Kenneth Kaunda (Zambia), Sam Nujoma (Namibia) na Mzee Festus Mogae (Botswana)IMG_6999Mama Salma Kikwete na wake wa marais wengine wakiwa katika mkutano wa maadhimisho ya miaka 50 ya AU katika makao makuu ya Umoja huo jijini Addid Ababa, Ethiopia
Posted by Augustine Mgendi at 8:45 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Contact

Contact

Like Us On Facebook

Flag Counter

Followers

Popular Posts

  • WEEKEND NJEMA WADAU WANGU
  • (no title)
    WAZIRI MKUU PINDA AONGOZA MAMIA YA WANA MUSOMA KUMUAGA MWALIMU ALIYEMFUNDISHA BABA WA TAIFA.MWALIMU JAMES IRENGE LEO           Wadau...
  • (no title)
    A SKARI POLISI MMOJA MKOANI KIGOMA AFARIKI KATIKA AJALI YA PIKIPIKI  Na Pardon Mbwate na Felister Chubwa wa Jeshi la Polisi Kigoma ...
  • MKAPA AFUNGA KAMPENI IGUNGA
  • (no title)
    MAITI NYINGINE ZAIDI ZA MV SKAGIT ZAIOBUKA Na Mwandishi wa Jeshi la Polisi Zanzibar Idadi ya maiti za ajali ya kuzama kwa Meli ya M...
  • ISSA KIJOTI NA WENZAKE WAZIKWA
    Muimbaji mahiri wa muziki wa Taarabu nchini Issa Kijoti mzee wa mchumu mchumu mwaaa akipelekwa kati,ka nyumba yake ya milele.Mungu awaweke m...
  • (no title)
                               JAMII YASHINDWA KUFUATA MISINGI YA HAKI ZA WATOTO IMESEMEKANA KUWA JAMII IMESHINDWA KUFUATA MISINGI  YA HAKI ZA ...
  • (no title)
    HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME YATAKIWA KUONGEZA VYANZO VYA MAPATO.   Na: Dinna Maningo, Tarime. HALMASHAURI ya Wilaya ya Tarime Mkoani ...
  • Prof Muhongo ahimiza kilimo cha Alzeti katika jimbo la Musoma vijijini
                   Mkulima wa zao la Alzeti akitazama zao hilo shambani                          Baadhi ya wakulima hao wakifanya Mahoj...
  • (no title)
                         Charles Taylor ata hukumiwa leo Majaji katika mahakama maalum kuhusu vit...

Soccer Live

Total Pageviews

Blog Archive

2013. designed by Mark Jay.. Simple theme. Powered by Blogger.