Thursday, May 30, 2013

JARIDA LA BURUDANI LA MZUKA TOLEO LA MAY LINALOTOLEWA NA BONGO5 MEDIA


GROUP LIMEINGIA MTAANI LIKIWA NA KALI KIBAO KWA BEI YA SHILINGI 1,500 TU.

WEMA SEPETU YUPO KWENYE KAVA NA AMEFUNGUKA MAZITO. UNAFAHAMU NI KIPI

DIAMOND ALIMKOSEA HADI WAKAACHANA? JE  WEMA NI MILIONEA? JIBU LIPO KWEYE
MZUKA.
KUNA ORODHA YA MASTAA 20 TANZANIA WENYE USHAWISHI ZAIDI, RAPPERS 10 WAKALI
LAKINI WANAOCHUKULIWA POA NA WATANGAZAJI WA KIKE 11 WA TV BARANI AFRIKA
WAREMBO ZAIDI .

REGINALD MENGI ATANGAZA ULAJI KWA WATUMIAJI WA TWITTER. MZUKA LINA PICHA
ZA WAKE AMA WAPENZI 20 WA WANAMUZIKI WAREMBO ZAIDI AFRIKA.

JE! UNAFAHAMU KUWA MREMBO HABIDA KUTOKA KENYA, ALIWAHI KUISHI TANZANIA?

MZUKA LINA STORY NA PICHA ZAKE KALI. KWANINI FILAMU ZA TANZANIA HAZIENDI

NJE YA AFRIKA MASHARIKI? WASANII WAMETOA SABABU. KWA WANAOPENDA MICHEZO

KUNA MATUKIO MANNE MAKUBWA YALIYOTOKEA KUIHUSU MANCHESTER UNITED.

MZUKA LINA BONGE YA STORY KUHUSU HORMONE INAYOWAFANYA WATU WASISEME UONGO


NA JINSI INTERNET YA BURE INAVYOONGEZA MVUTO KWENYE BIASHARA. PIA KUNA

PICHA KALI ZA MATUKIO MBALIMBALI YA BURUDANI NCHINI.

JIPATIE NAKALA YAKO YA MZUKA SASA KWA SHILINGI 1,500 TU KWENYE VITUO VYA
KUUZIA MAGAZETI. PIGA NAMBA 0716 265 838 KWA TAARIFA ZAIDI.

Thanks.

Fredrick Bundala aka Skywalker.

Head of Content, bongo5.com

No comments:

Post a Comment