Tuesday, May 7, 2013

BALOZI WA IRELAND NCHINI ATEMBELEA OFISI ZA CUF DAR

 Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba akiteta na Balozi
Mwenyekiti Lipumba,Balozi pamoja na Naibu katibu mkuu Julius Mtatiro
 Huyu jamaa mfupi ni bwanamdogo shaweji mketo. mkurugenzi wa uchaguzi CUF taifa.
HATUA KWA HATUA LEO JUMANNE ASUBUHI TULIPOTEMBELEWA NA BALOZI WA IRELAND MADAM FIONNUOLA GILSENAN.
 
Tumeongea naye juu ya masuala mbalimbali ikiwemo Historia ya CUF, KATIBA mpya ya Tanzania, Hali tete ya kiusalama ndani ya nchi, kukua kwa udini, ukanda na ukabila, uchumi duni na huduma dhaifu za miundombinu,afya na elimu.

Balozi huyu ana uelewa mpana wa masuala ya Afrika na ametueleza mitizamo ya nchi yake juu ya masuala ya Tanzania na Afrika.

No comments:

Post a Comment