Saturday, April 27, 2013

UZINDUZI WA KANDA YA MAGHARIBI ULIOFANYIKA TABORA APRIL 27


Zitto na Mbowe wakiwa jukwaa kuu
Kibao kinachoashiria uzinduzi wa Kanda ya Magharibi umekamilika 
Picha ya juu na chini Zitto Kabwe akitema cheche
 Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mdogo wake Dr. Hamisi Kigwangala Mbunge wa Zenga [CCM], amejiunga na CHADEMA katika uzinduzi huo
Picha zimepakuliwa kutoka Jamii Forums

No comments:

Post a Comment