Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Uhuru
Kenyatta wa Kenya wakati wa ufunguzi wa kikao cha juu cha kumi na moja
cha Wakuu wa nchi wa jumuiya ya Afrika Mashariki kilichofaniyka jijini
Arusha.
Baadhi wa ajumbe walioshiriki ufunguzi wa kikao cha Juu cha
kumi na moja cha Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki(11th
Extraordinary EAC Summit) kilichofanyika jijini Arusha(picha na Freddy
Maro)
Marais wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa kwenye kikao cha kumi na moja cha Jumuiya hiyo jijini Arusha leo.
Marais wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakisimama kwa dakika
moja kumkumbuka laiyekuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka
Uganda Marehemu Eriya Kategaya wakati wa ufunguzi wa kikao cha kumi na
moja cha Jumuiya hiyo jijini Arusha leo mchana. Katika Hoteli ya
Ngurdoto.Kutoka kushoto Rais Wa Burundu Pierre Nkurunzinza,Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda,Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta.
No comments:
Post a Comment