Tuesday, April 23, 2013

RAIS DKT. KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA DAR ES SALAAM

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Dr. Jakaya Kikwete (Kushoto) akifungua  mkutano  wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika leo jijini Dar es Salaam, kikao hicho ni cha  368 na  katika ajenda zake  pia kitazungumzia mgogoro wa Madagascar. (Pichani  kushoto) Mjumbe wa SADC ,Joachime Chissano., Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa  Kitaifa Mh. Bernard Membe  ambae ndie Mwenyekiti wa Kikao kicho, akifuatiwa na  Kamishna wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika H.E. Ramatane Lamamra.. 3Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt, Jakaya Kikwete akifungua kikao cha Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika leo jijini Dar es alaam. (Pichani katikati) Kamishana wa Baraza la Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika  H.E. Ramtane Lamamra. na (kulia) ni Mwenyekiti wa kikao hicho Mh. Bernard Membe, ambae pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiani wa Kimataifa. 5Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na Mwenyekiti wa Kikao cha Baraza la Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika, akifungua   cha 368 cha baraza hilo, leo jijini Dar es Salaam,Kikao hicho ni cha siku moja ambacho pia kimehudhuriwa na Rais wa zamani wa Msumbiji ambae ni Mjumbe wa SADC hayupo pichani, (katikati) ni  Kamishna wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika  H.E. Ramamtane Lamamra, (kulia) ni Rais Dkt. Jakaya Kikwete, 8Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akiongea na Kamishna wa Baraza la Amani la Usala wa Umoja wa Afrika H.E. Ramtane Lamamra babada ua funguzi wa kikao cha 368 cha baraza hilo laeo jijini Dar es Salaaam. 9Rais Dr, Jakaya Kikwete (kulia) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa kikao cha Baraza la  Amani la Usalama wa Umoja  wa Afrika ambae pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchinin Tanzania Mh. Bernard Membe leo jijini Dar es Salaam 10

No comments:

Post a Comment