Wednesday, April 24, 2013

Happy birthday Edwin Moshi


Naitwa Edwin Moshi a.k.a Eddymoblaze, ni blogger  ninaye miliki mtandao www.eddymoblaze.blogspot.com.

 Napenda kuchukua fursa hii kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kunifikisha salama siku ya leo Jumatano April 24 ambapo naadhimisha siku yangu ya kuzaliwa.

ia na ninyi bloggers wenzangu nawashukuru kwa ushirikiano wenu katika hili bila kusahau familia yanguNo comments:

Post a Comment