PICHA NNE MBILI ZA UHURU KENYATTA AKIWA NA BABA YAKE ENZI ZA UTOTO NA PICHA MBILI ZA JANA ZA KUAPISHWA KUWA RAIS WA NNE WA KENYA
Uhuru Kenyatta akiwa na baba yake mzazi Mzee Jomo Kenyatta
Uhuru
Kenyatta(wa pili kushoto) akiwa na baba yake Mzee Jomo Kenyatta pamoja
na Rais aliyemaliza muda wake Rais Mwai Kibaki (wa pili Kulia) na raisi
wa awamu ya pili Daniel Arap Moi(kulia)
Rais Uhuru Kenyatta wakati anapishwa kuwa Rais wa nne wa kenya leo
Ulinzi ukiwa umeshamili kwa rais mpya wa Kenya
No comments:
Post a Comment