Habari za uhakika kabisa kutoka Vatican, zinaeleza kuwa kiongozi mkuu wa
kanisa la katoriki Duniani,Pope Benedict XVI ametangaza kuwa ataachia madaraka ya uongozi wake huo ifikapo tarehe
28-02-2013.
Pope Benedict XVI alichaguliwa kuwa pope mwaka 2005,
Kiongozi huyo atatimiza miaka 86 mwezi April mwaka huu,Sababu ya
kujiuzuru kiongozi huyo wa katoriki duniani bado haijajulikana..pengine
kwa ajili ya umri ! habari zaidi zitafuata baadaye
No comments:
Post a Comment