Wednesday, January 2, 2013

KHERI YA MWAKA MPYA WA 2013 WANAWAAFRIKA

Najua Mengi yamekukuta Mwaka 2012 lakini jaribu kuyasahau uanze ukurasa Mpya ingawa wapo wengi wanaokuombea Mabaya ila amini Mungu yupo nawe

 "Mwaka 2013 kila mtu atimize wajibu wake"

No comments:

Post a Comment