Saturday, December 8, 2012

GWARIDE LA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA UHURU WA TANGANYIKA DEC 9,2012


Kikosi cha Gwaride cha Jeshi la wananchi la Tanzania (JWTZ) Kikipita  mbele ya maofisa wa Vyombo vya ulinzi na Usalama wakati wa gwaride la majaribio  la kuadhimisha miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru leo asubuhi ambapo keshokutwa Desema 9 mwaka huu maadhimisho hayo yatafanyika katika uwanja huo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.


 
Kikosi cha jeshi la Magereza kikipita mbele ya maofisa hao
Kikosi cha Bendera kutoka Jeshi la Wananchi la Tanzania JWTZ kikipita.

No comments:

Post a Comment