Beldina Nyakeke Katibu wa Chama cha Waandishi wa habari mkoani Mara akiwa amenyanyau Kombe baada ya Timu ya wanagabari jana kuwabanjua wakusanya Mapato wa TRA MARA mabo 2-1
Mshambuliaji wa timu ya wanahabari Mara Augustine Mgendi akibusu kombe hapo jana baada ya kukabidhiwa Katibu wa Chama hicho hapo jana
Katibu msaidizi wa MRPC Paschal Michael akiwa amebeba Kombe
No comments:
Post a Comment