Wednesday, October 24, 2012

POLISI MARA YAFUNGWA 3-2 NA PAMBA YA MWANZA

Timu ya Polisi Mara leo imeanza vibaya michuano ya daraja la kwanza Tanzania baada ya kukubali kipigo cha bao 3-2 kutoka Timu ta Pamba ya jijini Mwanza

No comments:

Post a Comment