CRISTIANO RONALDO KURUDI JIJI LA MANCHESTER
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno na
Real Madrid Cristiano Ronaldo atarudi kwa mara nyingine kwenye jiji la
Manchester baada ya kuondoka takribani miaka mitatu iliyopita.
Ronaldo ambaye alikaa kwenye jiji la
Manchester kwa misimu mitano akiwa anaichezea klabu ya Manchester United
kabla ya kuuzwa kwenda Real Madrid, atarudi kwenye jiji hilo kwa ajili
ya kucheza mechi ya Champions league dhidi ya Mabingwa wa England
Manchester City. Madrid wamepangwa kundi D, wakiwa na City, Ajax, na
Dortmund.
Haya ndio makundi ya Champions league msimu wa 2012-13
Group A
Group B
Group C
Group D
Group E
Group F
Group G
Group H
No comments:
Post a Comment