Friday, August 3, 2012

TIMU YA SOKA YA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MARA YATOSHANA NGUVU NA TIMU YA SOKA YA CHUO CHA MAENDELEO NA JAMII BUHARE  1-1

 Picha zaidi katika mchezo huo

                  Timu ya soka ya waandishi wa Habari mkoani Mara ikiwa tayari katika mpambano
                                     Timu ya soka ya chuo cha Maendeleo ya Jamii Buhare

Mchezaji hatari wa timu ya soka ya waandihi wa Habari George Marato  akipiga jalamba kabla ya mpambano

                             Golikipa wa wanahabari akipiga jalamba
                              Kapteeni wa Wanahabari Shomari Binda
               Benchi la Chuo cha Maendeleo ya Jamii
                              Benchi la wanahabari

                              Baada ya mchezo kazi yha uandishi wa habari ilirejea kama kawaida
                            mmmmmmm hii noma
                                    Wadau wa habari kama kawa

No comments:

Post a Comment