Sunday, April 8, 2012

                POLISI MARA YATWAA UBINGWA WA MKOA WA MARA KTK SOKA

Timu ya Polisi mkoani Mara POLISI MARA jana katika uwanja wa KARUME mjini Musoma imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Mkoa wa Mara baada ya kuifunga timu ya soka ya BUBOMBI FC  kutoka wilayani Rorya

No comments:

Post a Comment