Sunday, April 8, 2012

                          PASAKA NJEMA WADAU

Kuna wakati Mwingine mnapokutana ndugu mnatakiwa kufurahi maana hujui siku wala saa,hao ni wadogo zangu tulipokuwa tunaongea leo wakati vijana wanapata msosi wa kusukumia Pasaka

No comments:

Post a Comment