NDEGE YA ATC YAPATA AJALI LEOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Ndege
ya Shirika la ATC ambayo ilikuwa imetoka Dar es salaam na kutua Kigoma
salama na Baada ya muda mchache kuanza safari ya kuelekea Tabora ambapo
ndio ilikuwa kwa Runway na kudondoka muda mfupi kabla ifanye hivyo,
taarifa zaidi kutoka kwa abiria ambao walikuwepo ndani ya Ndege hiyo
zinadai kuwa ilikuwa imejaza zaidi ya uwezo wake. Katika ajali hiyo bawa
moja la upande wa kulia limevunjika kabisa, na hakuna abilia hata mmoja
aliye jeruhiwa vibaya. Hata hivyo kuna akina bibi wawili ambao
wamepatwa na mshituko kutokana na ajali hiyo na wamekimbizwa moja kwa
moja katika hospital ya maweni Kigoma

No comments:
Post a Comment