Monday, February 13, 2012

MABADILIKO YA KWELI


Kituo cha redio Victoria FM kimeamua kubadili Slogan (Kauli mbiu yake) kutoka HOME RADIO mpaka THE SOUND OF LAKE ZONE maana muda mfupi kutoka hivi sasa Itasikika mikoa 10 ya Tanzania

No comments:

Post a Comment