Thursday, July 7, 2011

WAZIRI MKUU WA UINGEREZA KUPAMBANA NA WIZI WA HABARI KWA NJIA YA SIMU

Waziri mkuu wa Uingereza David Cameroon ameahidi kubuni tume maalum ya kuchumguza madai ya wizi wa habari kwa njia ya simu uliofanywa na chombo cha habari cha News of the WAorld, wakati polisi walipokuwa wanafanya uchunguzi wao kuhusu shambulizi la bomu la julai saba mwaka 2005.

Wakati akitangaza hayo, waziri mkuu wa Uingereza amesema kwamba wanajeshi 500 wa Uingereza walio nchini Afghanistani wataondoka nchini humo kufikia mwisho wa mwaka ujao, na tayari marekani na ufaransa zimetangaza kuyaondoa majeshhi yake nchini humo pia hapo mwakani.

Kwa hisani ya RFI

No comments:

Post a Comment