Wednesday, July 6, 2011

SAFI SANA WAHESHIMIWA

Nimeipenda picha hii maana kuna baadhi ya watu wanadhani wabunge wa CCM  na CHADEMA hawapatani, sio kweli picha hii ni kielelezo tosha kuwa utofauti upo katika itikadi si mambo mengine

No comments:

Post a Comment