Friday, July 1, 2011

Habari za siku wadau wangu katika blog ya Mwana wa Afrika,nashukuru sana kwa uvumilivu wenu katika blog hii na pia naomba radhi kutokana na kutoweka habari kwa muda na wakati mwingine kutoweka kabisa.Hatua hiyo inatokana na kuharibika kwa laptop yangu  na camera niliyokuwa nikiutumia hivyo inakuwa ngumu sana kuwa kwa wakati lakini pia suala la umeme nalo limekuwa tatizo kubwa.


           Nawashukuru sawa Wana wa Afrika kwa uvumilivu wenu

No comments:

Post a Comment