Wednesday, June 8, 2011

BUNGENI LEO ASUBUHI

Waziri wa fedha na uchumi Mstafa Mkullo leo jioni anatarajiwa kusoma bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2011/2012 huku watanzania wengi wakisubiria kwa hamu kubwa juu ya kushuka kwa gharama ya vitu mbalimbali ambavyo vinaonekana kuwa chanzo cha kupanda kwa gharama ya maisha hapa nchini

                                     Wabunge wakiwa bungeni leo asubuhi
 Naibu waziri wa habari michezo utamaduni na michezo akijiweka sawa kujibu swali lililoulizwa katika wizara hiyo
                                              Naibu waziri akitoa ufafanuzi
                            Spika wa Bunge Anna Makinda akisoma majina ya wageni bungeni leo asubuhi
 Wageni waalikwa ambao ni wanasiasa katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 Waziri wa fedha mstapha Mkullo akielezea Taarifa juu ya hali ya uchumi hapa nchini
                                       Mbunge wa Monduli Edward Lowasa Bungeni leo
  Spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Anna Mkainda



No comments:

Post a Comment