Thursday, January 27, 2011

KIWANDA CHA NGUO CHA MUTEX KIMEFUNGWA

Haijajulikana nini kimepelekea mpaka kufunga ghafla lakini hivi karibuni Mbunge wa jimbo la Musoma Vincent Nyerere  alipofanya ziara katika kiwanda hicho alikuta kuna maji ambayo yanatiririka kuelekea ziwani. TAARIFA ZAIDI NITAKULETEA MDAU

No comments:

Post a Comment