Tuesday, December 21, 2010

YAELEZWA ASILIMI KUBWA YA WATANZANIA WANAKULA MIHONGO

 
Inasemekana kuwa asilimia kubwa ya watanzania wanatumia mihogo kama chakula chao kikuu kama wanavyoonekana watoto wakiwa wanatengeneza mihogo tayari kwa kuivundika.

No comments:

Post a Comment