Siku ya Krismas vijana hawa walinitembelea Nyumbani na mambo yakawa poaaaaaaaaaaaa
Ebwana huyu ni mwanae au kapata kazi anaitwa Sefloza wa Ukweli
Ester wa Kheri katika pozi
Kazi ndio msingi wa Maisha
Hakuna kulala kazi kwa kwenda mbele
Tabasamu linapokuwepo linaonyesha upendo
Maelekezo yanatakiwa ili kazi iwe nzuri zaidi
Pamoja na maelekezo ya mwenye kazi lakini pia maelekezo ya kitaalam yanatakiwa
No comments:
Post a Comment