Binti akicheza ziwa victoria hii ni hatari lakini pia ni vyema mtoto akafurahi
Ndio maji tunayotumia vijijini jamani
Siunacheki mwenyewe
Kwa binti kama huyu mjini ni vigumu kumkuta anafanya hivi lakini kijijini ni kawaida,lakini huyu yupo mjini
Ukiwa beach Tunda muhimu
Ndio zetu
Kucheza jamani pia ni afya
Ziwa victoria linavyoonekana
No comments:
Post a Comment