Aaaah Laza uliwa unaongea nae nini mbona kafurahi hivyo?
Msanii wa muziki wa kizazi kipya AMINI akitoa burudani
Amini akikonga nyoyo za watazamaji
Kama kawa Amini katika mic
Kijana akiimba kwa hisia kibao cha "Ndio unikimbie"
Mashabiki wakubwa wa wasanii ni watoto kama wanavyoonekana
Jamani Amini aliamua kucheza KIDUKU
Watoto nao wakajitosa kwenye kiduku
Kucheza hawataki bali kufurahi tu kama anavyoonekana Anna na Shomary wa Bindah
Amini na Hussen Machozi
Cares akiwa na Mark katika banda la Victoria fm ndani ya Moanyesho ya Kilimo mseto
Jamani wanafunzi hawa walishinwa kujizuia kucheza kiduku
Wa ukweli nae alikuwepo
Ngoma za asili hazikuwa nyumaaaaaaaaaaaaaaaa
Mkuu wa mkoa wa Mara kanali mstaafu Enos Mfuru na Mkuu wa wilaya Ngatuni wakimtazama Amini akitoa Burudani
Ama kweli haya ni mapoinduzi ya kilimo,Mafuru na Happy hawakuwa nyuma ndani ya kilimo mseto
No comments:
Post a Comment