Wakazi wa Nyakanga wakiwa na mabango
Jumanne Magige akisisitiza jambo katika maandamamno hayo
Wakazi wa Nyakanga wakiwa katika mkutano wa kudai haki yao
Tatizo ni kwamba wananchi hao serikali ya halamshauri ya Musoma chini ya Mkurgenzi ilipitisha barabara katika mashamba yao lakini hawakupewa fidia hivyo wanaitaka serikali kuwapa fidia yao
No comments:
Post a Comment