Sunday, October 17, 2010

Mwana wa Afrika

Nahitaji kuwa mtu huru ili nifanye mambo yangu kwa uhuru zaidi katika kuielezea jamii huru  nini ambacho ni sahihi wao kufanya  kwa uhuru na kipi amabcho si sahihi  kufanya,katika nchi ambazo mara nyingi watu wenye pesa ndio wanataka kuonekana wao ndio kila kitu lakini napenda uwe na msimamo wako daima By Mwana wa Afrika

No comments:

Post a Comment