Majambazi wamevamia benk mjni Nyamongo katika wilaya ya Tarime mkoani Mara na kuuwa askari mmoja lakini pia wananchi wakafanikiwa kuuwa majambazi watatu papo kwa hapo.
Nimemtafuta Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Tarime na Rorya Costanrine Masawe amesema kuwa atanitaarifu baada ya kupata taarifa kamili kutoka huko
No comments:
Post a Comment