Thursday, September 23, 2010

PILIKA ZA UBUNGE NA UDIWANI MUSOMA KUENDELEA LEO

Pilika za kutafuta nafasi za uwakilishi katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuendelea leo mjini Musoma ambapo wagombea mbalimbali wa vyama vya siasa watakuwa wakimimina sera jukwaani.Siasa ni maisha usijaribu kupiga kura kwa ushawishi au kufuata mkubo au kupokea rushwa ndugu yangu


                                   By Mwana wa Afrika



                      

No comments:

Post a Comment