Thursday, September 23, 2010

KIJANA HUYU ANATUFAA MWAKA 2015 MUSOMA MJINI

Mwaka huu katika mchakato wa kugombea nafasi ya ubunge katika chama cha Mapinduzi kuna watu wengi walijitokeza kuomba nafasi hiyo pamoja na kuwepo na watu hao pia alikuwepo kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la ALPHONCE MAGORI kijana msomi na mzaliwa wa mkoa wa Mara.


              ALPHONCE MAGORI AKIMWAGA SERA KATA YA KITAJI

Ugeni wake katika siasa za mkoa wa Mara halikuwa tatizo kwani aliweza kuonyesha ukomavu mzuri katika siasa nap engine ndio tegemeo kwa Chama cha mapinduzi kwa mwaka 2015


Wana Musoma wengi walimuona jinsi anavyojieleza na jinsi anavyoweza kujenga hoja sina shaka kama mwaka 2015 wana Musoma wakaamua kumtuma Bungeni nina asilimia zaidi ya 200 kuwa anaweza kuwakilisha wana Musoma


Kaza mwendo mkubwa siasa haina mwenyewe

No comments:

Post a Comment