Mmoja kati ya watenda kazi wa TMF Bi Joyce akiwajibika leo |
Wanahabari wakionyesha kufurahia mafunzo ya uandishi wa mitandaoni leo mjini Dodoma |
Mmoja kati ya wawezeshaji wa mafunzo hayo Bw Beda akiwapa mafunzo wanahabari wamiliki wa blog ili kuzingatia maadili katika kutumikia vyombo hivyo nchini |
Mwanahabari Brandy Nelson akijitambulisha kabla ya mafunzo hayo ya TMF ambayo bila shaka yataongeza ubora wa blog nchini Tanzania |
Source Matukiodaima |
No comments:
Post a Comment