MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU SENSA YAMALIZIKA KWA MATOKEO YA KURIDHISHA JIJINI MWANZA, KILICHOBAKI NI UTEKELEZAJI SASA
MUHIMU:- Inawezekana katika
usiku wa kuamkia Sensa, mgeni alilala kwenye kaya na akaondoka kabla ya Karani
wa Sensa hajafika. Kwa utaratibu wa Sensa mgeni huyo atatakiwa kuhesabiwa hapo
alipolala na siyo huko atakapokutwa baada ya siku ya Sensa. Kwa ajili hiyo
nivizuri kwa mkuu wa kaya akapata majibu ya maswali yote yatakayoulizwa kabla
mgeni huyo hajaondoka ili aweze kuyajibu maswali ya Sensa kwa niaba ya mgeni
wake. Karani wa Sensa atafika katika eneo la kuhesabia watu siku tatu kabla ya
siku ya Sensa kulitambua eneo na kuwaandaa wakazi wa eneo hilo.
No comments:
Post a Comment