LIGI YA TFF NGAZI YA TAIFA YAANZA KITUO CHA MUSOMA,POLISI MARA YAIDUWAZA ASHANT UNITED WATOTO WA ILALA KWA KUWAGAGADUA MABAO 2-0
Kocha mkuu wa Timu ya Polisi Mara Ally Mchumilla (Njano) na Meneja wa timu hiyo wakihakikisha timu inaimarika
Wadau wa soka wakiwa katika jukwaa dhidi ya Mtanange wa Ashanti United na Polisi Mara
Wadau wa Soka wakiwa Makini na soka uwanjani
Mabere Makubi wa Chaln Ten Musoma
Ramadhan Magoe mchezaji wa Polisi aliyepewa kadi Nyekundu katika mchezo huo
aaaaaaaaaah anaandika mkononi au mm sioni?
Sipati picha kama jamaa angefungwa sikukatika mechi hiyoooooooo
kwa njia yoyote lazima tuone
Dr Mwita akifuatilia mpira
No comments:
Post a Comment