MAADHIMISHO YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI YAFANA MUSOMA
Mgeni rasm aliyemwakilisha mkuu wa mkoa wa Clement Lujaji ambaye ni katibu tawala mkoani Mara
Fadhili janja mmoja ya waandishi makini sana wa makala mbalimbali akisisitiza jambo katika maadhimisho hayo
Makamanda wanaohakikisha mkoa wa Mara unakuwa katika hali ya usalama,kutoka kushoto ni kamanda ya jeshi la polisi mkoa wa Kipolisi Tarime na Rorya ACP Justus Kamgisha na Kamanda mkoa wa Mara kamishina msaidizi ACP Robert Boaz
Kamanda Boaz anatoa neno
Nilipata muda kuongea nae kuhusu hali ya Usalama ilivyo
Mapaparazi nao hawakuwa mbali nami
Kamanda Kamgisha akitoa neno
Aaaaaaaaaah Shimo la Taka aliamua kuuza sura na Kamanda
Waandishi wa habari wakiwa makini katika kongamano la uhuru wa vyombo vya habari duniani
Mwandishi wa Habari Okelo akimwaga cheche zake
Vijana kutoka Victoria Fm ya mjini Musoma
No comments:
Post a Comment