Tuesday, August 2, 2011

DK JOHN POMBE MAGUFULI ANA JIBU HOJA ZA WABUNGE MUDA HUU BUNGENI

Dr John Pombe Magufuli ana jibu hoja za wabunge kwa sasa huku akitoa ahadi lukuki katika kujenga barabara mbalimbali hapa nchini kwa kiwango cha lami,kama kawaida takwimu kwake si kitu cha kubuni.Naunga mkono hoja

No comments:

Post a Comment