Tuesday, August 2, 2011

MSANII MPYA WA BONGO FLAVA KUTOKA SHYYYYYY


About Fonabo







 Ni Msanii wa Bongo Flava Anyetokea Shinyanga Lakini Kazi Zake Za Muziki Anzifanya Mkoani Morogoro Ndani Ya Tuff Rec. Chini Ya Mtayarishaji GQ.Pia Hapo Awali Aliwahi Kutoa Single Iliyofahamika KwaJina la MAISHA Ambayo Ilifanya Vizuri Kiasi Katika Media.Hii Hapa Ni Kazi Yake Nyingine Ambayo Kwa Sasa Ameamua Kuiachia Kwa Mashabiki Wake Kwa Sababu Bila Wao Hawezi kufanikisha.
    Aksante.

No comments:

Post a Comment