Mbunge wa jimbo la Tarime mkoani Mara amesema kuwa atatumia hata mapanga kuwafukuza wawekezaji kama watashindwa kuwaletea wananchi maendeleo katika jimbo hilo .
Akichangia leo jioni bungeni katika mkutano wa 4, bunge la 10 kikao cha 26, katika wizara ya nishati na madini mbunge huyo amesema kuwa vijana wengi wa tarime hawana ajira huku wawekezaji wakiwalaghai kwa kusema wataleta maendelo
Katika kikao hicho Nyangwine amesema matatizo ta Tarime yatatatuliwa na wana Tarime na si watu wengine kutoka nje ya Tarimw huku akisema kuwa kuna baadhi ya viongozi walioshindwa kuleta amani eno hilo
No comments:
Post a Comment