Msanii wa bongo fleva Linex kwa hivi sasa anatarajia kuachia wimbo wake mpya uliopewa jina la SINA NGEKEWA. Linex amesema wimbo huo ametengenezwa na Producer C9 kutoka Kiri Rec,
Wimbo huo ni ni muendelezo wa album yake ya pili ambapo amesema kwenye album hiyo amefanya na wasanii wote ambao alikuwa akiwaota ipo siku moja atakuja kupiga nao kazi.
No comments:
Post a Comment