Friday, July 1, 2011

NDANI YA UWANJA WA KARUME MJINI MUSOMA MUDA HUU FIESTER TAYARI IMEANZA KUWASHA MOTO

Usiku huu wananchi wa mkoa wa Mara wako katika uwanja wa kuchezea mpira wa karume katika tamasha la Fiesta ambalo hufanyika mara moja kwa mwaka na kwa mara ya kwanza mwaka huu linafanyika ndani ya uwanja huo.nikiwa ndani ya gari katika barabara ya Nyerere nimekutana na umati mkubwa wa watu wakiwa wanaelekea katika tamasha hilo. Cha msingi ni Amani na Upendo

No comments:

Post a Comment