Katibu mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoani Mara Nyamhanga Chacha Chome anasikitika kutangaza kifo cha mama yake Ghati Chacha Chome kilichotokea February 14 mwaka huu katika Hospital ya muhimbili jijini Dar es salaam
Mazishi yatafanyika siku ya jumatatu katika kijiji cha Nyansurura wilaya ya Musomam vijijini kuanzia majira ya saa sita mchana,Habari ziwafikie ndugu jamaa na Marafiki popote walipo.
No comments:
Post a Comment