Thursday, September 2, 2010

WATANZANIA NINA HAKI YA KUSIKILIZA AU VP?

Mchakato wa vyama vya siasa kuomba kura zetu ndio umewadia hivyo ni vyema kila mtanzania akatumia nafasi hiyo kusikiliza sera ili oktoba 31 ufanye maauzi sahihi,mimi nimeanza je wewe?

No comments:

Post a Comment