MANENO YANGU LEO, Afrika itajengwa na waafrika wenyewe kama fikra zao na utashi wao wataamua kujenga bara la Afrika.Najiuliza kila siku kama waasisi wa Bara la Afrika walifika kuliunganisha bara la Afrika je viongozi wetu wa leo wanafikiria nini? Tafakari wewe mwana wa Afrika
No comments:
Post a Comment