Rais Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Mzee Small
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu hii leo.
Rais Kikwete akitoka kwenye nyumba ya Marehemu Mzee Small mara baada ya kuwapa pole Mjane wa marehemu, ndugu jamaa na marafiki
Rais
Kikwete akizungumza na waombolezaji waliofika msibani hapo, Kulia kwake
ni rais wa shirikisho la filamu Tanzania Simon Mwakifwamba
Rais Kikwete akiwa ameketi na mtoto wa marehemu Mzee Small, Mahmoud Said Ngamba
Rais Kikwete akitia saini kitabu cha maombolezo
Rais Kikwete akiagana na mtoto wa marehemu
Rais akisalimiana na waombolezaji
Rais Kikwete akijiandaa kuondoka baada ya kuhani msiba wa Mzee Small
Picha zote na Edwin Moshi wa Eddy Blog
No comments:
Post a Comment