Thursday, May 29, 2014

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA MARA KWA AJILI YA KURUHUSU MATENGENEZO YA KAWAIDASHIRIKA LA UMEME TANZANIATAARIFA YA  KATIZO LA UMEME MKOA WA MARA
KWA AJILI YA KURUHUSU MATENGENEZO YA KAWAIDA

Meneja wa TANESCO Mkoa wa Mara anasikitika kuwataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na katizo la umeme Mkoa wa Mara ili kuruhusu matengenezo ya kawaida kama ifuatavyo:-

SIKU, TAREHE NA MUDA
KITUO
MAENEO YATAKAYOKOSA UMEME

JUMAMOSI- 31/05/2014                  SAA 3 ASUBUHI – 11 JIONI


MUSOMA POWER STATION

Maeneo yote ya mji wa Musoma

JUMAPILI- 01/06/2014                  SAA 3 ASUBUHI – 11 JIONI


MUSOMA POWER STATION

Maeneo yote ya mji wa Musoma.


Tafadhali ukihitaji utatuzi wa jambo lolote kuhusu umeme wakati wa dharura, wasiliana na Ofisi za TANESCO kwa namba 0732 985672, 0683 165087, au 028 2622 020 .

Au Kituo cha miito ya simu kwa  namba  022-2194400  or  0768 985 100                         

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetolewa na:


Mhandisi  Respicius Ndyanabo,
Kaimu Meneja wa TANESCO,
Mara.

No comments:

Post a Comment