Wednesday, October 30, 2013

Tazama Picha ya ajali ya Treni iliyoua Nairobi Kenya leo asubuhi

2
Ripoti kutoka Nairobi Kenya asubuhi hii ni kwamba ajali ya Treni kugonga basi lililokua linakwenda City Centre na kusababisha vifo vya watu 9 waliokuwemo ndani ya basi katika eneo la Mutindwa jijini Nairobi ambapo majeruhi wamekimbizwa hospitali ya Mama Lucy.
Ripota wa millardayo.com Julius kipkoech akiwa Nairobi anaripoti kwamba maneno ya Mashuhuda ni kuwa kuna uwezekano Dereva wa basi lililoua watu tisa papohapo hakuwa ameiona treni hiyo na pia eneo hilo inasemekana ni ngumu kuiona Treni hivyo Madereva wasiokuwa makini sana hawatoweza kuepuka ajali.
Treni Nairobi1

source millardayo

No comments:

Post a Comment